- 200 viewsDuration: 57sTimu ya Nairobi United imeitandika KCB Fc kwa mabao 2-0 kwenye mechi ya pekee ya ligi kuu ya taifa ya kandanda katika uwanja wa Kasarani. Naibos walipata bao moja katika kila kipindi na kukwea hadi nafasi ya saba kwenye jedwali