16 Jan 2026 10:09 am | Citizen TV 169 views Duration: 2:57 Mzozo kuhusu umiliki wa sehemu kubwa ya ardhi inayokadiriwa kuwa zaidi ya ekari 23,000 katika kata ya Thome, tarafa ya Rumuruti katika Kaunti ya Laikipia unaibuka kati ya makundi mawili.