Skip to main content
Skip to main content

Operesheni ya kuwasaka wahalifu waanza huko Kaskazini Mashariki

  • | Citizen TV
    1,020 views
    Duration: 59s
    Naibu Inspekta jenerali wa polisi Eliud Lagat amesema idara ya usalama imejitolea kumaliza kabisa magenge ya wahalifu katika maeneo ya Pwani na Kaskazini Mashariki.