16 Jan 2026 10:12 am | Citizen TV 1,365 views Duration: 1:04 Maafisa wa mamlaka ya ukusanyaji ushuri nchini KRA wamenasa shehena bandia ya sigara katika bandari ya Mombasa ambazo zilipangiwa kuingia kwenye soko la humu nchini.