16 Jan 2026 10:14 am | Citizen TV 114 views Duration: 1:06 Katibu katika idara ya uhamiaji Belio Kipsang amewahumiza machifu katika kaunti ya Tana River kuhakikisha wale wasio na vitambulisho wameandikishwa ili kunufaika na miradi na huduma za serikali.