Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Caroline Ngetich yataka uchunguzi wa kina kufwatia kifo chake tatanishi

  • | Citizen TV
    348 views
    Duration: 1:59
    Familia moja kutoka kijiji cha Mukutma kaunti ya Bomet inalilia haki baada ya mwana wao mwalimu wa JSS, Caroline Ngetich , kuaga dunia wiki moja iliyopita kwa njia tatanishi.