16 Jan 2026 10:18 am | Citizen TV 409 views Duration: 1:34 Licha ya wizara ya elimu nchini kuipa shule ya upili ya James Mwei kotoka eneo bunge la Tongaren mikondo mitatu ya kitaaluma , inasikitikisha kuwa tangu Jumatatu shule hiyo imewapokea wanafunzi sita pekee.