16 Jan 2026 10:37 am | Citizen TV 324 views Duration: 1:34 Wakulima 121 katika kaunti ya Kwale wamefuzu baada ya kupokea mafunzo ya kilimo biashara kuwawezesha kutumia mbinu za kisasa na za gharama ya chini .