- 147 viewsDuration: 1:34Jamii za Ogiek na Dorobo wanaoishi kaunti ya Nandi na ambao walifurushwa kutoka msitu was Serengonik na Cherobon miaka kadhaa iliyopita, wameomba Serikali kuharakisha mchakato wa kuwapa makazi ili kutatua changamoto wanazozipitia kama maskwota .