Skip to main content
Skip to main content

Polisi wanasa lita 640 za chang'aa Borabu, Nyamira

  • | Citizen TV
    344 views
    Duration: 1:07
    Polisi kutoka eneo la Borabu katika kaunti ya Nyamira wamemwaga lita 640 za pombe haramu aina ya chang'aa, iliyonaswa kwenye chumba kimoja cha kukodisha eneo hilo.