Skip to main content
Skip to main content

Serikali yatakiwa kuwasaidia wajane Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    122 views
    Duration: 1:24
    Serikali imetakiwa kuweka mikakati madhubuti ya kuwasaidia wajane kifedha na kuwapa ushauri nasaha, hasa wanaoishi katika mitaa ya mabanda katika Kaunti ya Trans Nzoia, kutokana na changamoto za maisha ikiwemo ukosefu wa mtaji wa kukidhi mahitaji ya msingi ya familia.