Skip to main content
Skip to main content

Wafanyibiashara walalamika kuhusu ugavi wa ardhi ya reli

  • | Citizen TV
    331 views
    Duration: 1:24
    Wafanyibiashara katika mji wa Kitale wameelezea wasiwasi wao mkubwa kufuatia madai kwamba hatua ya watu wachache kutwaa shamba la Shirika la Reli katikati ya mji imefanyika bila ushirikishwaji wa umma unaotakiwa kisheria.