Skip to main content
Skip to main content

Jeraha la mgongo halikumzuia kufanya vyema KCSE

  • | Citizen TV
    637 views
    Duration: 3:15
    Kijana mmoja katika kaunti ya Kericho ameandikisha matokeo bora kwenye mtihani wa kitaifa wa KCSE, licha ya kuugua na kulazimika kukatiza masomo yake kwa miaka kumi. Alex Kipkirui alirejea kufanya mtihani wake wa KCSE mwaka jana huku akiwa na majeraha ya uti wa mgongo yaliyomkosesha uwezo wa kutembea. Kwa yote haya, Alex amepata alama ya B na kuwa bora katika shule ya Borborwet eneobunge la Belgut,