16 Jan 2026 11:10 am | Citizen TV 283 views Duration: 2:32 Wakulima wa mpunga katika kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa, kutokana na uvamizi wa nyuni. Kwa sasa, jumla ya ekari 94 za mpunga zimeharibiwa chini ya muda wa siku kumi.