Skip to main content
Skip to main content

Mwanafunzi mwerevu akosa karo Mwingi

  • | Citizen TV
    385 views
    Duration: 1:32
    Msichana mwerevu mwenye umri wa miaka 13 kutoka Mwingi ambaye alikua ajiunge na shule ya wasichana ya kitaifa ya Muthale kwa sasa yuko nyumbani baada ya kukosa karo. Niserah Kyambi mbuvi allizoa alama 66 katika mtihani wa KJSEA na kuitwa kujiunga na shule hiyo ya kitaifa kaunti ya Kitui, lakini sasa anahofia kuwa ndoto yake ya kuendelea na masomo itafifia.