Skip to main content
Skip to main content

Kampuni ya KPC yatoa ufadhili wa wanafunzi walemavu Lamu

  • | Citizen TV
    123 views
    Duration: 2:12
    Wazazi wanaoishi na watoto wenye ulemavu katika Kaunti ya Lamu wameshinikiza serikali ya kaunti kuwasaidia katika maswala YA elimu,Afya Na usaidizi mwengine kwa sababu mahitaji yao ni maalum. Wakizungumza wakati wa zoezi la usajili wa watoto wenye ulemavu kwa ufadhili wa masomo na kampuni ya KPC, wazazi hao wamehimiza mashirika zaidi kujitokeza na kusaidia jamii ya walemavu Lamu.