Skip to main content
Skip to main content

Mzozo wa ardhi Rumuruti

  • | Citizen TV
    496 views
    Duration: 3:01
    Mzozo kuhusu umiliki wa sehemu kubwa ya ardhi inayokadiriwa kuwa zaidi ya ekari 23,000 katika kata ya Thome, tarafa ya Rumuruti katika Kaunti ya Laikipia unaibuka kati ya makundi mawili. Ardhi hii ilinunuliwa na wanachama zaidi ya 5,000 wa kundi la Mathira-Kihundui-Kahonoki Gitaaraga Farmers’ Asscoation mnamo 1974. Hata hivyo, kwa mujibu wa Mwenyekiti wao Dominic Munyiri, shamba hilo lilivamiwa na maskwota kutoka jamii za wafugaji wanaoishi katika eneo hilo na kulifanya kuwa lao.