- 3,771 viewsDuration: 1:57Familia moja kutoka kijiji cha Mukutma kaunti ya Bomet inalilia haki baada ya mwana wao mwalimu wa JSS, Caroline Ngetich , kuaga dunia wiki moja iliyopita kwa njia tatanishi. Kulingana na dadake, ilikuwa imearifiwa kuwa Caroline Ngetich alikuwa aalifariki baada ya kuteleza na kuanguka alipokuwa akitoka msalani,hali ambayo ilikinzana na ripoti ya upasuaji...Aidha, ripoti ya upasuaji unaonyesha kuwa mwalimu huyo aliaga dunia baada ya kudhulumiwa ambapo alikuwa na majeraha ya uti wa mgongo na alikuwa na ujauzito wa mwezi mmoja wakati wa kifo chake.