Skip to main content
Skip to main content

IPOA yaanza uchunguzi baada ya tukio la polisi kuwapiga vijana Nandi Hills

  • | Citizen TV
    2,425 views
    Duration: 2:53
    Mamlaka ya kuchunguza utendakazi wa polisi ipoa na kitengo cha kuangazia kanuni za idara hiyo zimeanzisha uchunguzi kuhusu kisa ambapo maafisa wa usalama walinaswa kwenye kanda ya cctv wakiwapiga vijana mjini nandi hills. Kwenye kanda hiyo vijana kadhaa waliokuwa wakicheza "pool" wanavamiwa na polisi na kisha kuanza kupigwa kwa kutumia rungu na viboko