- 386 viewsDuration: 2:46Usajili wa wanafunzi kujiunga na Gredi ya 10 umeingia siku ya tano hii leo nchini huku idadi ndogo ya wanafunzi wakiripotiwa kujiunga na shule za kaunti ndogo...Shule kadhaa ziliandikisha wanafunzi wachache sana huku zingine zikiwa hazijafikisha hata nusu ya wanafunzi waliotarajiwa. Hayo yanajiri huku baadhi ya wazazi wakifika na wanao katika shule za bweni bila karo