Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Makongeni, Thika yaomba uchunguzi kufuatia kifo cha kijana aliyeanguka kutoka jengo

  • | Citizen TV
    1,276 views
    Duration: 2:07
    Familia moja huko Makongeni, thika inataka uchunguzi wa kina kufanywa kufuatia kifo cha mwana wao ambaye aliaga dunia baada ya kuanguka kutoka jengo mtaani humo. Familia ya Dec Muniko, inadai kuna uwezakano kuwa kijana huyo alisukumwa na polisi wakati walikuwa wakiendesha operesheni kwenye chumba alichokuwa