Skip to main content
Skip to main content

John Mark Makwatta afunga bao la ushindi katika debi yake ya Mathare United

  • | Citizen TV
    292 views
    Duration: 35s
    Mshambulizi John Mark Makwatta ameanza safari yake ya Mathare United kwa kufunga bao la pekee na la ushindi kwenye mechi ya ligi kuu ya taifa dhidi ya Ulinzi Stars. Makwata alijiunga na Mathare United mwezi huu kutoka Bandari