MAUAJI TATANISHI
Halmashauri ya kutathmini utendakazi wa polisi IPOA imeanzisha uchunguzi kuhusu kisa cha ufyatuaji risasi kinachodaiwa kuhusisha maafisa wa polisi kutoka kituo cha polisi cha Karatina kaunti ya Nyeri hapo jana. Kupitia taarifa, mwenyekiti wa halmashauri hiyo Isaack Hassan, amesema uchunguzi huo utaangazia matukio yaliyosababisha kuuawa kwa kupigwa risasi kwa George Gathu Matheri, baada ya kujibizana kwa muda mfupi na maafisa hao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive