- 2,092 viewsDuration: 3:14Mume wa marehemu Lucy Wambui Ng’ang’a, ambaye alifariki kutokana na upasuaji wa urembo unaodaiwa kukumbwa na hitilafu mnamo Oktoba mwaka 2024 katika kliniki ya urembo ya Body by Design, ameifahamisha mahakama kwamba alipinga uamuzi huo. Akitoa ushahidi mahakamani, Francis Ng’ang’a Mundia alimwambia hakimu anayesimamia kesi hiyo Christine Njagi kwamba mkewe alihudumiwa na madaktari ambao hawajahitimu hivyo kusababisha kifo chake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive