Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa wa mkasa wa Mai Mahiu washinikiza kulipwa fidia

  • | KBC Video
    184 views
    Duration: 3:11
    AHADI NI DENI Miezi ishirini baada ya mkasa wa bwawa la maji la Mai Mahiu, waathiriwa bado wanasubiri kufidiwa na kupewa makazi mapya. Hasira ya waathiriwa hao ilifikia kilele baada ya kijana mmoja kuzirai alipokuwa akikumbatia mti kwa nia ya kuhamasisha na kuishinikiza Serikali kuwafidia waathiriwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive