Skip to main content
Skip to main content

Biashara I Serikali kuuza hisa za kampuni ya Kenya Pipeline

  • | KBC Video
    208 views
    Duration: 3:23
    UBINAFSISHAJI Je! Wajua kwamba itakugharimu shilingi tisa kununua hisa moja ya kampuni ya Kenya Pipeline ambapo serikali imedhamiria kuuza asilimia 65 ya hisa zake? Waziri wa fedha John Mbadi amesema serikali inanuia kuchangisha shilingi bilioni 106.3 kupitia uuzaji wa hisa za kampuni hiyo ambazo zitatumiwa kama mtaji wa kimsingi wa hazina ya kitaifa ya muundombinu. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo chetu cha biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive