Maafisa wa usalama katika kaunti ya Pokot Magharibi wamehimizwa kuwakamata wachimbaji madini kinyume cha sheria kwenye migodi ya dhahabu katika kaunti hiyo. Wakati uo huo, wajane kutoka eneobunge la Suba Kusini kaunti ya Homabay wamehakikishiwa msaada wa serikali kuhusu uwezeshaji kiuchumi, elimu pamoja na kupewa ulinzi wa ardhi. Taarifa kamili ni katika dira ya kaunti.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive