Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China: Meli ya Matibabu

  • | KBC Video
    48 views
    Duration: 3:49
    Tiba ya Jadi ikiunganishwa na Teknolojia ya Kisasa inawavutia raia wa Brazil kwenye Meli ya matibabu ya Jeshi la Wanamaji la China. Raia hao pamoja na maafisa wa kijeshi wamepata fursa ya kipekee ya kutembelea meli hiyo ijulikanayo kama Silk Road Ark ambapo walishuhudia vifaa vya kisasa vya matibabu pamoja na mbinu za jadi za Tiba ya Kichina (TCM). Maelezo zaidi katika Makala ya ifahamu China Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive