Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto awakabidhi rasmi majukumu mabalozi wapya

  • | KBC Video
    1,008 views
    Duration: 4:03
    HUDUMA KWA TAIFA UGHAIBUNI Rais William Ruto amewahimiza mabalozi wapya walioteuliwa kutumia mwongozo wa utawala wa Kenya Kwanza unaonuiwa kubadilisha hadhi ya taifa hili kuwa taifa lililostawi ili kutangaza taifa hili kwenye vituo vyao kidiplomasia. Akiwakabidhi rasmi majukumu ya vituo watakakohudumu, rais Ruto aliwahimiza mabalozi hao kukuza matumaini, maadili na matamanio ya taifa hili ughaibuni. #Darubini Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive