Skip to main content
Skip to main content

Vyuo vikuu vya St. Paul na Handong Global vyashirikiana kwa mpango wa kukuza uvumbuzi

  • | KBC Video
    94 views
    Duration: 1:37
    KUJIAJIRI, POPOTE ULIPO! Wanafunzi katika chuo kikuu cha St. Paul’s wanatarajiwa kunufaika na mpango wa mafunzo mahsusi ya siku tano wa ujasiria mali Afrika ulioanzishwa kwa ushirikiano na chuo kikuu cha Handong cha Korea Kusini, unaonuiwa kukuza uvumbuzi na ujasiria mali kwa uwezo wa mfumo wa viumbe hao na mazingira. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive