- 884 viewsDuration: 2:45Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amependekeza kwamba kampuni ya Safaricom igawanywe kuwa taasisi tatu tofauti na hisa za kila moja kuuzwa badala ya kuuza kwa jumla asilimia 15 ya hisa za kampuni hiyo kwa kampuni ya Vodacom. Nyoro anasema kuwa uuzaji wa hisa za serikali kwenye kampuni yoyote ile unafaa kuambatana na mageuzi mapana ili kuongeza thamani na kuimarisha uwajibikaji. Maelezo zaidi ni kwenye kitengo chetu cha biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive