- 219 viewsDuration: 3:15Waziri wa leba na utunzi wa Jamii Dkt. Alfred Mutua anasema ukiritimba na taratibu za idara ya mahakama zinaathiri juhudi za kuwashtaki walaghai ambao wamewatapeli wakenya wanaotafuta nafasi za ajira nje ya nchi. Akizungumza jijini Nairobi leo Dkt. Mutua alisema kwamba kati ya kesi 390 zilizowasilishwa katika miezi sita iliyopita, ni 15 pekee ambazo zimekamilika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive