Skip to main content
Skip to main content

Dkt. Omolo: Vitisho vya kisasa mpakani vyahitaji ushirikiano

  • | KBC Video
    366 views
    Duration: 3:54
    USALAMA MIPAKANI Katibu katika wizara ya usalama wa taifa Dkt. Raymond Omollo amesema kuwa mikakati shirikishi ya kimaeneo ya kushughulikia dharura na ushirikiano thabiti baina ya mashirika, vimechangia pakubwa katika kupiga jeki usalama mpakani na mbinu za kukabiliana na vitisho vya kimataifa. Dkt Omolo aliyezungumza kwenye hafla ya ufunguzi wa warsha ya siku tatu kuhusu usalama mpakani jijini Nairobi, alisema vitisho vya kisasa mpakani vinaendelea kuwa tata na vinahitaji ushirikiano katika kuvishughulikia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive