Skip to main content
Skip to main content

Polisi waagizwa kukomesha pombe haramu na mihadarati Kayole

  • | KBC Video
    43 views
    Duration: 1:16
    Maafisa wa polisi wameagizwa kuwachukulia hatua kali walanguzi wa mihadarati na wauzaji pombe haramu ambao wamechangia kudorora kwa usalama katika mtaa wa Kayole, jijini Nairobi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive