- 72 viewsDuration: 1:51Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei ametoa wito wa uadilifu na uwazi katika utoaji huduma serikalini. Koskei ametoa wito kwa watumishi wa umma kudumisha kanuni katika huduma zao kwa taifa. Akihudhuria ibada ya shukrani ya kila mwaka ya afisi ya Rais katika kanisa la All Saints Cathedral jijini Nairobi, Koskei alibainisha changamoto zilizopo katika sekta ya utumishi wa umma hasa wakati rasilimali zinapokuwa adimu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive