- 94 viewsDuration: 2:25Huduma za afya katika hospitali ya Mama Lucy, kaunti ya Nairobi zimeathirika pakubwa huku wanagenzi wakiachwa kuwashughulikia wagonjwa kufuatia mgomo wa matabibu na madaktari wa kaunti ambao umelemaza huduma za afya kwa takriban asilimia 75. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive