- 1,156 viewsDuration: 3:47Rais William Ruto amekariri azma ya serikali ya kuwawezesha kiuchumi vijana kupitia mabadiliko ya kiuchumi yasioghubikwa na ufisadi. Akihutubia hadhara katika kaunti ya Meru wakati wa uzinduzi wa mpango wa utoaji mtaji wa biashara kwa vijana, NYOTA, Rais alisema mpango huo unalenga kutoa fursa, kupunguza ukosefu wa ajira, na kuwapa vijana ujuzi na rasilimali zinazohitajika ili kushiriki kikamilifu katika ukuaji wa uchumi wa nchi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive