Skip to main content
Skip to main content

Wakfu wa Green Africa waafikiana na Thailand ili kuboresha sekta za elimu na mazingira

  • | KBC Video
    127 views
    Duration: 2:06
    Wakfu wa Green Africa umetia sahihi mkataba na maelewano na taifa la Thailand unaonuiwa kuboresha elimu pamoja na mikakati ya uhifadhi wa mazingira. Kwenye hotuba iliyowasilishwa na mkurugenzi wa elimu Yusuf Karayu kwa niaba ya katibu wa wizara ya elimu Julius Bitok, imebainika kuwa ipo haja ya kuboresha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili hasa katika kuangazia changamoto zinazokabili sekta ya elimu n athari za mabadiliko ya tabia nchi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive