- 205 viewsDuration: 1:36Wakazi wa mtaa wa Mukuru Kwa Reuben jijini Nairobi waliopoteza mali na wapendwa wao katika mkasa wa moto wa hivi majuzi wameiomba serikali iwasaidie kugharamia mazishi ya wapendwa wao. Haya yalibainika wakati viongozi wa Kaunti ya Nairobi walipowatembelea waathiriwa. Viongozi hao walitoa msaada kwa waathiriwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive