Skip to main content
Skip to main content

Ruto : Zaidi ya Wakenya laki tano wameajiriwa kupitia mpango wa nyumba za gharama nafuu

  • | KBC Video
    138 views
    Duration: 4:25
    Serikali imetia saini mikataba ya shilingi bilioni 600 kusaidia ajira zaidi ya wanagenzi elfu-tano chini ya mpango wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu,kama mojawapo wa njia za kukabiliana na ukosefu wa ajira kwa vijana na kuimarisha utaalam katika sekta ya ujenzi. Wanagenzi hao, waliotoka fani mbalimbali za ujenzi kama uhandisi, usanifu wa mijengo, na uchoraji ramani, watapokea marupurupu kila mwezi huku wakipata uzoefu wa kazi kwenye miradi ya ujenzi wa makazi nafu kote nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive