Benki ya Cooperative imezindua aina tofuati za mipango ya mafunzo kuhusu huduma za fedha kupitia mitandaoni,ikilenga wanafunzi,watalaamu chipukizi na wajasiria mali kote nchini. Madhumuni ya mpango huo ni kuwapa vijana maarifa kuhusu jinsi ya kupanga bajeti,uwekaji akiba,uwekezaji na uzalishaji mali.Kwa habari hizi na nyingine ni katika habari zetu za biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive