Skip to main content
Skip to main content

Kenya na Thailand zasaini mkataba wa ushirikiano wa kuhifadhi mazingira

  • | KBC Video
    132 views
    Duration: 3:02
    Katika hatua ya kuleta mabadiliko katika sekta ya elimu na uhifadhi wa mazingira, Chuo Kikuu cha Sukhothai Thammathirat nchini Thailand kupitia Wakfu wa Green Africa, kitashirikiana na wizara ya elimu kuboresha elimu na mikakati ya uhifadhi wa mazingira. Katika hafla iliyoandaliwa kupitia mtandaoni , mkataba huo wa maelewano, utatoa fursa ya kipekee kwa walengwa kupata ufahamu wa jinsi taifa la Thailand limeweza kiumarisha uchumi kupitia elimu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive