Caroline Kitu, Mkazi wa Dabaso - KILIFI: Kabla ya kuwa na umeme, tulikabiliana na changamoto nyingi ingawa tulitegemea umeme wa jua. Watoto walikuwa na wakati mchache wa kusoma, usalama ulikuwa jambo la kuhangaikia sana, na mbuzi na kuku wetu walikuwa wakifa.
Sasa umeme umefika Dabaso, maisha yetu hakika yatabadilika na kuwa bora. Tutaweza kufungua biashara na kuboresha maisha yetu.
Tunamshukuru mbunge wetu, Owen Baya, na shirika la REREC kwa kuleta umeme nyumbani kwetu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News