Skip to main content
Skip to main content

Lori ya mafuta yalipuka barabara ya Southern Bypass

  • | KBC Video
    1,043 views
    Duration: 3:09
    AJALI YA BARABARANI NAIROBI Mtu mmoja afariki papo hapo Mwingine ajeruhiwa na kupelekwa hospitali Madereva washauriwa kuwa makini barabarani Mtu mmoja afariki katika ajali ya barabarani baada ya lori la mafuta kugongana na Lori lingine na Kulipuka, kwenye barabara ya Southern Bypass #DiraYaMagwiji Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive