Wanasiasa wanaoegemea mrengo wa Kenya Kwanza, wakiongozwa na wengi katika bunge la taifa Kimani Ichung’wa na kiongozi wa wengi katika bunge la seneti Aron Cheruiyot, wamehimiza jamii za wafugaji kuunga mkono ajenda ya maendeleo ya rais William Ruto.Walikuwa wakiongea wakati wa hafla ya kuwawezesha kina mama katika eneo bunge la Saku,kaunti ya Marsabit.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive