Skip to main content
Skip to main content

Operesheni za usalama eneo la Bonde la Ufa zaendelea kuzaa matunda

  • | KBC Video
    426 views
    Duration: 2:39
    Serikali imetoa wito kwa viongozi wa kidini na jamii za humu nchini kushirikiana katika kudumisha amani na kuunga mkono mipango ya maendeleo huku operesheni za usalama katika eneo la Bonde la Ufa zikiendele kuzaa matunda. Hata hivyo, Katibu katika wizara ya usalama wa taifa Dkt. Raymond Omollo, amesema kuwa Amani inaweza kudumishw kupitia ushirikiano wa jamii pekee, Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive