Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke aliyefariki akiwa kazini Saudi Arabia azikwa

  • | KBC Video
    655 views
    Duration: 2:29
    Hatimaye familia ya mwanamke aliyefariki akiwa kazini Saudi Arabia imeweza kumzika nyumbani kwake. Jane Omondi, kutoka Kaloleni, Kaunti ya Kilifi, alifariki mwaka 2024 na kuzikwa Saudi Arabia bila ufahamu wa familia yake. Watetezi wa haki za binadamu wanasema kifo chake ni dhihirisho la visa vinavyoendelea vya unyanyasaji wa Wakenya wanaofanya kazi nje ya nchi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive