Skip to main content
Skip to main content

Shirika la reli lakamilisha ujenzi wa mradi wa huduma ya treni ya abiria wa jiji la Mombasa

  • | NTV Video
    775 views
    Duration: 45s
    Shirika la reli limekamilisha ujenzi wa mradi wa huduma ya treni ya abiria wa jiji la Mombasa. Mradi huo ulijumuisha ujenzi wa vituo vya abiria mjini Mombasa na Miritini, ujenzi wa daraja la reli lenye urefu wa kilomita 2.3 kuvuka bahari katika eneo la Makupa pamoja na kufufua reli ya zamani iliyo ya umbali wa kilomita 16.6. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya