Shirika la Nation Media group litaendelea kushirikiana na kaunti ya Machakos ili kuimarisha mawasiliano, utoaji wa huduma na fursa za uwekezaji. Afisa mkuu mtendaji wa NMG, Geoffrey Odundo, amesifia ushirikiano mwema na kaunti hiyo haswa kwa masuala ya mawasialiano ikikumbukwa jana kaunti ilisitisha mgomo wa wauguzi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya