- 174 viewsDuration: 2:12Tume ya Maadili na kupambana na ufisadi EACC, sasa inasema kuwa haitosita kuwachukulia hatua wabunge wowote, iwapo uchunguzi na ushahidi utaashiria kuwa wamekuwa wakichukua mlungula kufanya kazi yao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya